mwanahalisi - Kikwete, katiba and mafisadi

 

Kikwete, katiba na mafisadi, mwanahalisi newspaper, leo, Tanzania magazine, CCM VS Chadema,

KATIKA hotuba yake ya kuadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa kwa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumapili iliyopita, mjini Mwanza, Rais Jakaya Kikwete alisema mengi.

Kubwa ambalo wengi watalikumbuka, ni hatua yake ya kukana ukweli huku na kuukubali kule.

Kwa mfano, Kikwete ambaye pia ndiye mwenyekiti wa chama hicho alisema, “Sisi tunayo ajenda yetu. Tunazo ahadi zetu; na yote ambayo tunatekeleza yametokana na yale tuliyoahidi.” Aliwataka wenzake wasikubali kuhama kwenye mstari.

Lakini nani asiyefahamu kuwa chama hiki tayari kimepoteza mwelekeo? Angalia kilivyobeba hoja ya kuwapo kwa katiba mpya; hoja ambayo haijawahi kuwa ya chama cha Kikwete.

Kwa miaka yote hii, CCM kimekuwa kikieleza kuridhika na katiba iliyopo na kilisisitiza mara kadhaa, kwamba “katiba iliyopo inajitosheleza.”

Mara kadhaa, chama cha Kikwete na baadhi ya viongozi wake.

Posted by admin at Feb 19, 2012 3:04 PM Category: Mitaa yetu
Tags: mwanahalisi, newspaper tanzania, Kikwete, katiba, mafisadi,

Tanzania advertising magazines and newspapers

Tanzania Advertising Magazine  and Marketing

 

tanzania daima, gazeti la mananchi, gazeti la majira, gazeti la  nipashe, gazeti la majira, gazeti la ijumaa, gazeti la mwanahalisi, gazeti la habari leo, gazeti la mtanzania.


Rates

We are looking for matching advertiser for our print magazine, it if full A4 color, and it focus on business and technology, we will be glad to send you a pfd file to help you make sound decision on how to strategically advertising and promote your business to thousands of readers here in Tanzania.  

Our.

Posted by admin at Jan 20, 2012 12:36 AM Category: Tanzania Yetu
Tags: tanzania advertising, magazine, marketing, tanzania, pixad, advertisingdar, darbiz, daima, mwananchi, majira, ijumaa, mwanahalisi, habari leo, mtanzania top

Why Tanzania is Divided

Erick Kabendera (journalist) - 07/02/2011

 

The outgoing prime minister struggled to persuade voters to support a parliamentary candidate on the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) ticket in Sumbawanga constituency in southwestern Tanzania hardly a day before the polling last week.

 

Over 99 percent of the voters in the constituency are Christians who had accused the candidate Aeishi Halfan Hilal of offending Christianity when he used the doctrine of the Trinity to liken CCM presidential candidate Jakaya Kikwete with Father and himself a Holy Spirit at a previous campaign rally.

 

Despite premier Pinda assuring voters the party had met Roman Catholic clergymen and apologized for the candidate’s “misuse of words” the gathering seemed unconvinced as.

Posted by admin at Nov 16, 2011 6:41 AM Category: Mitaa yetu
Tags: divide, mwanahalisi, mwananchi, erick, kabendera, ccm, chadema top

Home