Klabu ya Shanghai yakataa uhamisho wa Drogba FIFA



Klabu ya Shanghai Shenhua imesema kuwa Didier Drogba angali mchezaji wake na kuwa uhamisho wake hadi klabu ya Galatasaray inakiuka masharti ya mkataba wake.

Mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea, amesaini mkataba wa miezi kumi na minane na klabu ya Galatasaray inayoshiriki katika ligi kuu ya Uturuki.

”Tumeshangazwa sana na tangazo hilo” Klabu hiyo ambayo ilimsaini Drogba kwa mkataba wa miaka miwili na nusu mwezi Julai mwaka uliopita, imesema.

Posted by admin at Jan 31, 2013 8:34 AM Category: Michezo Tanzania
Tags: tanzani michezo, wananchi michezo, drogba,

Mwananchi gazeti la kiswahili la Tanzania

Mwananchi Communications Ltd is a media Company based in Tanzania

The company was established in May 1999 by Ambassador Ferdinand Ruhinda as Media Communications Ltd. But in April 2001, a new business was established (Advertising Agency & Public Relations) and a new company was formed - Mwananchi Communications Ltd. In the very same year Mwananchi Communications Ltd was acquired

Posted by admin at Feb 17, 2012 2:21 PM Category: Mitaa yetu
Tags: mwananchi news, newspapers, ajira, michezo, kazi, jobs, ijumaa, jumapili, gazeti leo top

Home