| Tanzania commission agents | ||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Morocco Commission Agent- Tanzania |
||||||||
|
||||||||
| Tragic Accident, truck driver run over camels killing all of them | ||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() ![]() ![]() In a very tragic situation, and sad accident, an Ethiopian truck driver, run over many camels killing almost all of them . It is very sad and very difficult to imagine what the hell this driver was doing to cause such an accident. How the driver did not try to stop after killing couple of them. what a horrible accident. probably the owner of the camel do not have insurance of the camel, I hope the truck driver has car insurance otherwise it will be big loss for. |
||||||||
|
||||||||
| jamii forum tanzania, jamii forum | ||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Jamii forum zilipendwa, jamii forum nafasi za kazi, jamii forum jokes, jamii forum doctor, jamii forum tanzania, mapenzi, jamii forum is one of the best Tanzania forum , is known as home of great thinker, give your opinion, submit article, news, or seek for love, of find jobs vacancies. this is Jamii Forum website, www.jamiiforums.com |
||||||||
|
||||||||
| darhotwire chat, darhotwiretv.com | ||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Darhotwire, is gazeti la kiswahili online, linalo milikiwa and chanel 5, ippmedia, lina husu, masualia ya Travel, education, business news, and events, matukio ya kila siku hapa Tanzania, tembelea site www.darhotwire.com |
||||||||
|
||||||||
| Mwaka 2013 tuache porojo- vitendo-zaidi | Maoni yetu | ||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
LEO Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kote kusherehekea mwaka mpya wa 2013. Hizi ni sherehe kubwa, ambazo hakika watu wengi huzisubiri kwa hamu kubwa, ikiwa ni pamoja na kuzitumia kama tathmini ya nini wamefanya kwa kipindi chote cha miezi 12, hivyo kujiwekea malengo katika mwaka mpya. Kwetu Tanzania, mwaka 2012 bila shaka umekuwa na changamoto nyingi za hapa na pale, ukiachilia mbali mafanikio yaliyopatikana kwa kila mtu mmoja mmoja na kwa pamoja kama taifa. Lakini tunaweza kujikumbusha machache kama vile kushamiri kwa matukio ya ujambazi, mmomonyoko wa maadili, matumizi makubwa ya dawa za kulevya, ajali za kila aina, rushwa, mauaji, ubadhilifu na mengine mengi.
Haya mambo kimsingi hatuwezi kuyamaliza kwa wakati mmoja, lakini kwa
kujiwekea mikakati kama taifa na kuazimia, tunaweza kuyapunguza na
mengine. |
||||||||
|
||||||||
| Home | Older Posts » |









